Abdul na mabilion yake anamwogopa sana Tundu Lissu

Abdul na mabilion yake anamwogopa sana Tundu Lissu

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Kitendo cha kuinuka na mabilion ya pesa kumpelekea mtu kwa Dunia hii leo iliyojaa uchu, tamaa, ufisadi, ujambazi, laana plus njaa ya kila namna na shida na mahangaiko ya kila namna na akazikataa lazima uogope sana.

Watu wanauza mpaka bandari za nchi ili wapate pesa, lakini kwa Tundu Lissu haikuwa hivyo, alizikataa pesa za rushwa na ufisadi kutoka kwa Abdul

Watu wanaua mpaka ndugu zao lakini kwa Tundu Lissu haikuwa hivyo , alizikataa pesa za rushwa kutoka kwa Abdul

Watu wanauza mpaka vinyeo lakini kwa Tundu Lissu haikuwa hivyo alizikataa pesa za rushwa kutoka kwa Abdul

Watu wanauza mpaka mbuga za wanyama lakini kwa Tundu Lissu haikuwa hivyo alizikataa pesa za rushwa kutoka kwa Abdul

Watu wanaua mpaka watoto wao lakin Kwa Tundu Lissu haikuwa hivyo alizikataa pesa za rushwa kutoka kwa Abdul

Watu wanawanafanya watoto wao wa kike kwa wa kiume mandondocha lakini kwa Tundu Lissu haikuwa hivyo alizikataa pesa za rushwa kutoka kwa Abdul

Mtu kama huyu lazima umuogope sana tena ukisikia tu jina lake lazima upandishe kisukari

Ndo maana chama cha kijani kinatumia nguvu kubwa sana kuhakikisha Tundu Lissu hawi mwenyekiti CHADEMA

Aman kwenu
 
Tetesi toka Twitter na Dr Slaa zinasema mwamba kalambishwa asali ya 12B 🤣🤣 ndio maana anasumbua na hatoki.



12B sio pesa ya kitoto 🤣
 
Back
Top Bottom