Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
Kuna mambo makubwa na yenye manufaa zaidi kuliko kupambana na hao Miungu watu.Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana Taifa ya Chama cha ACT-Wazalendo, Abdul Omary Nondo ameeleza hayo wakati akihutubia katika kongamano la ACT Wazalendo la Maadhimisho ya Siku ya Vijana Duniani lililofanyika katika Ukumbi wa Mrina, Dar es Salaam, Agosti 12, 2026.