Suley2019
JF-Expert Member
- Oct 7, 2019
- 2,203
- 5,610
Wakuu,
Leo kupitia Crown Media Abdul Nondo amefunguka kuhusu sakata lake la Utekaji.
Amesema hawezi kuwatii Watekaji ambao walimwambia akizungumza Watamuua. Amesema kuwa Hata kama watamteka tena basi Wacha maandiko yatimie lakini hawezi kuacha kuzungumza.
Msikilize mwenyewe hapo chini:
PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - ACT waongea baada ya Nondo kupatikana, wasema alipigwa sana na alikuwa kwenye kitisho cha kifo