Kuna vitu vipo damuni yaani,.....jamaa ni mpambanaji toka akiwa mtoto,hawezi acha asili yakeWakuu,
Leo kupitia Crown Media Abdul Nondo amefunguka kuhusu sakata lake la Utekaji.
Amesema hawezi kuwatii Watekaji ambao walimwambia akizungumza Watamuua. Amesema kuwa Hata kama watamteka tena basi Wacha maandiko yatimie lakini hawezi kuacha kuzungumza.
Msikilize mwenyewe hapo chini:
View attachment 3195254
PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - ACT waongea baada ya Nondo kupatikana, wasema alipigwa sana na alikuwa kwenye kitisho cha kifo
Bora nimsikilize hata Nondo ana point kuliko Ndugu Kabendera Gwiji wa uongo na propaganda za kindezi..Mofo!Wakuu,
Leo kupitia Crown Media Abdul Nondo amefunguka kuhusu sakata lake la Utekaji.
Amesema hawezi kuwatii Watekaji ambao walimwambia akizungumza Watamuua. Amesema kuwa Hata kama watamteka tena basi Wacha maandiko yatimie lakini hawezi kuacha kuzungumza.
Msikilize mwenyewe hapo chini:
View attachment 3195254
PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - ACT waongea baada ya Nondo kupatikana, wasema alipigwa sana na alikuwa kwenye kitisho cha kifo
Magu ndiye alianzisha vikisi hivyo na ukila nyama ya mtu Huwezi kuacha, Nyerere aliwahi kusema.Maajabu ya Tanzania.
Rais Magufuli anateka watu toka kaburini!
We jamaa ni mkabilaa,yaani kwakuwa magufuli alikuwa msukuma mwenzio basi utaki atajwe kwa ubaya,ila kutwa unamtusi SamiaMaajabu ya Tanzania.
Rais Magufuli anateka watu toka kaburini!
muhimu zaidi ni kujiepusha na kumendea wake za watu. hilo ni la maana zaidi 🐒Wakuu,
Leo kupitia Crown Media Abdul Nondo amefunguka kuhusu sakata lake la Utekaji.
Amesema hawezi kuwatii Watekaji ambao walimwambia akizungumza Watamuua. Amesema kuwa Hata kama watamteka tena basi Wacha maandiko yatimie lakini hawezi kuacha kuzungumza.
Msikilize mwenyewe hapo chini:
View attachment 3195254
PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - ACT waongea baada ya Nondo kupatikana, wasema alipigwa sana na alikuwa kwenye kitisho cha kifo
Magufuli ndo aliyemteka Steven Ulimboka?Magu ndiye alianzisha vikisi hivyo na ukila nyama ya mtu Huwezi kuacha, Nyerere aliwahi kusema.
Nyani Ngabu hujali yaliyompata Bensaanane zaidi ya kulinda ukabila.
Wanatoka sehem moja maisha ya watu yasikuudhi broo🤣huyu dogo anachoniuzi anamwiga sana style zitokabwe kuongea na hata katibu wa ATC-wazalendo
Kweli mkuu!nimecheka sana!!Maajabu ya Tanzania.
Rais Magufuli anateka watu toka kaburini!
Magufuli aliasisi huu uhuni na sasa umekuwa desturi ya tawala hizi dhalimuMaajabu ya Tanzania.
Rais Magufuli anateka watu toka kaburini!
Maajabu ya Tanzania.