Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 2,536
- 7,194
Wakuu,
Hapa Abdul Nondo ambaye ni Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana ACT anasimulia matukio mawili ambayo yalimtisha sana baada ya kutekwa mwishoni mwaka 2024 mara baada ya kumalizika kwa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa
Soma Pia: Nondo: Kumekuwa na mfululizo wa Matukio ya utekaji lakini serikali na bunge ipo kimya, hakuna uchunguzi
Hii clip inapaaswa watazame watu wote ambao wanadhani utekaji ni masihara au ni kitu cha mzaha