Itovanilo
JF-Expert Member
- Jul 30, 2018
- 2,314
- 5,150
Hapana ccm ni chama tu,chaweza kufa hata leo.Ukoo wa ccm
Ni kwamba tu familia ya mzee mwinyi imebarikiwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana ccm ni chama tu,chaweza kufa hata leo.Ukoo wa ccm
Haaa 😀😁😅😄😃😃CCM ina wenyewe na wenyewe ndiyo hao.
toka nijiunge jf hii ndio comment imenichekesha mno mno mno kuliko zote.Mtoto wa mchingaji liz yake ninuchungaji ila watoto wa Nyerere wamepewankz maalum ya kufuga Peacok
Hili huwa naliota Mara kwa Mara mwinyi prez zenji now atakuja huku maana naona yupo good piaSafari ijayo mnaletwa Mwinyi huko bara awe rais wenu Tanzania.
Ngedere wa kijani wako serious kupeana vyeo kama njugu.
Tena connection dangerously.Ndo tunaziita connection hizi