PostGE2025 Abdullah Makame: Maridhiano hayahusiani moja kwa moja na matukio ya Oktoba 29

PostGE2025 Abdullah Makame: Maridhiano hayahusiani moja kwa moja na matukio ya Oktoba 29

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Dkt. Abdullah Makame (CCM), amesema kuwa maridhiano yanayotarajiwa kufanyika hayana uhusiano wa moja kwa moja na matukio ya Oktoba 29, bali ni moja tu ya sababu zinazoelezwa katika mchakato wa maridhiano.

 
TUNATAKA UCHAGUZI UP YA,TUME YA UCHAGUZI IFARIKI MARA MOJA,
 
IMG_7390.jpeg
 
Shida ilianza kitambo
kupotea kutekwa na kuuwawa kwa raia wasio na hatia..

29oct ilikuwa ni kukusanya ushahidi tu kwa kinachafanyikika hapa nchini

Huyu pimbi kwanza amepataje ubunge Wa E.A?!
 
Back
Top Bottom