DuaZaMama JF-Expert Member Joined Jun 2, 2025 Posts 1,882 Reaction score 4,153 Jan 7, 2026 #1 Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Dkt. Abdullah Makame (CCM), amesema kuwa maridhiano yanayotarajiwa kufanyika hayana uhusiano wa moja kwa moja na matukio ya Oktoba 29, bali ni moja tu ya sababu zinazoelezwa katika mchakato wa maridhiano. Your browser is not able to display this video.
Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Dkt. Abdullah Makame (CCM), amesema kuwa maridhiano yanayotarajiwa kufanyika hayana uhusiano wa moja kwa moja na matukio ya Oktoba 29, bali ni moja tu ya sababu zinazoelezwa katika mchakato wa maridhiano. Your browser is not able to display this video.
Thesonboy JF-Expert Member Joined Nov 20, 2025 Posts 895 Reaction score 2,499 Jan 7, 2026 #2 π π π Huyu mtu angekaa kimya tu
kimbendengu JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 8,394 Reaction score 16,128 Jan 7, 2026 #3 TUNATAKA UCHAGUZI UP YA,TUME YA UCHAGUZI IFARIKI MARA MOJA,
BLACKTIGER JF-Expert Member Joined Dec 21, 2012 Posts 5,197 Reaction score 8,667 Jan 7, 2026 #5 Shida ilianza kitambo kupotea kutekwa na kuuwawa kwa raia wasio na hatia.. 29oct ilikuwa ni kukusanya ushahidi tu kwa kinachafanyikika hapa nchini Huyu pimbi kwanza amepataje ubunge Wa E.A?!
Shida ilianza kitambo kupotea kutekwa na kuuwawa kwa raia wasio na hatia.. 29oct ilikuwa ni kukusanya ushahidi tu kwa kinachafanyikika hapa nchini Huyu pimbi kwanza amepataje ubunge Wa E.A?!
Kipenzi Changu Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 59,734 Reaction score 140,476 Jan 7, 2026 #6 Hii nchi kila mtu ni mkuu wa nchi