Kibuje JF-Expert Member Joined Dec 10, 2018 Posts 292 Reaction score 286 Aug 15, 2019 #21 Abdulrahim alikuwa mtoto wa mzee Busoka.
Djob Nkondo JF-Expert Member Joined Jan 25, 2015 Posts 265 Reaction score 203 May 9, 2021 #22 mpimamstaafu said: Mkuu kuna ugumu gani kama ungeenda ilipo shule ukamwuuliza Mwalimu mkuu kuliko kutusumbua wakati tuna mambo muhimu ya kitaifa ? Click to expand... Haha
mpimamstaafu said: Mkuu kuna ugumu gani kama ungeenda ilipo shule ukamwuuliza Mwalimu mkuu kuliko kutusumbua wakati tuna mambo muhimu ya kitaifa ? Click to expand... Haha
E Elevat Kapela JF-Expert Member Joined Dec 9, 2017 Posts 631 Reaction score 1,837 May 10, 2021 #23 Mimi nijuavyo shule hiyo inaitwa Abdurahim, ni shule ilijengwa na mtaalam wa tiba asilia kama sikosei akaikabidhi serikali. Ni shule ipo Mtaa wa Busoka (Manzese), kata ya Busoka Manispaa ya Kahama. Shule ina kidato cha kwanza hadi cha sita. Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
Mimi nijuavyo shule hiyo inaitwa Abdurahim, ni shule ilijengwa na mtaalam wa tiba asilia kama sikosei akaikabidhi serikali. Ni shule ipo Mtaa wa Busoka (Manzese), kata ya Busoka Manispaa ya Kahama. Shule ina kidato cha kwanza hadi cha sita. Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
Chumchang Changchum JF-Expert Member Joined Nov 1, 2013 Posts 5,988 Reaction score 6,226 May 10, 2021 #24 Naona jina limekusumbua... Mbona wale wa St Peters International school atuwaulizii! Jibu=Fika mkoa au wilaya shule ilipo uliza na watakupa majibu mazuli sana..
Naona jina limekusumbua... Mbona wale wa St Peters International school atuwaulizii! Jibu=Fika mkoa au wilaya shule ilipo uliza na watakupa majibu mazuli sana..