Abdulrahim Busoka ambaye jina lake linaenziwa kwa kupewa shule ya Sekondari wilayani Kahama alikuwa nani nchi hii?

Abdulrahim Busoka ambaye jina lake linaenziwa kwa kupewa shule ya Sekondari wilayani Kahama alikuwa nani nchi hii?

Mimi nijuavyo shule hiyo inaitwa Abdurahim, ni shule ilijengwa na mtaalam wa tiba asilia kama sikosei akaikabidhi serikali. Ni shule ipo Mtaa wa Busoka (Manzese), kata ya Busoka Manispaa ya Kahama.

Shule ina kidato cha kwanza hadi cha sita.

Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
 
Naona jina limekusumbua...

Mbona wale wa St Peters International school atuwaulizii!

Jibu=Fika mkoa au wilaya shule ilipo uliza na watakupa majibu mazuli sana..
 
Back
Top Bottom