figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Mungu si athumani!Ukweli mchungu nadhani ccm ijipange Mana makamu mwenyekiti ni mhanga wa katiba iliyopo
Kwani katiba ni ya vyama vya siasa au Ya Wananchi?
Wewe chawa, vyama vinaundwa na mawe! CCM Ina wanachama wangapi? Chadema Ina wanachama wangapi? Either of these ndio wananchiKelele zinapigwa na Vyama sio Wananchi
Umesoma hesabu za set?Wewe chawa, vyama vinaundwa na mawe! CCM Ina wanachama wangapi? Chadema Ina wanachama wangapi? Either of these ndio wananchi
Magufuli?Naona kama Kinana anapotosha, kwanza katiba mpya haikukwama bali Magufuli aligomea hatua ya kura. Ifahamike Ukawa walipojitoa ccm na wajumbe wengine wa bunge la katiba waliendelea hadi kupitisha katiba pendekezwa, na ikawa inasubiri kura za wananchi ili kuwa katiba rasmi.
sisi wnanchi hatuna mda na ujinga wenu- endeleeni tu kubishana sisi tunahangaika na maisha yetuKuwe na kura ya referendum wananchi wachague maslahi ya chama wanacho kiunga mkono.
Mtazisikia tu sauti zetu na sisi pia tuna haki na nchi hii.sisi wnanchi hatuna mda na ujinga wenu- endeleeni tu kubishana sisi tunahangaika na maisha yetu
bado haituhusu sisi wananchi- na msituingize kwenye mambo yenu hayoMtazisikia tu sauti zetu na sisi pia tuna haki na nchi hii.
Muda ukifika itawahusu tu.bado haituhusu sisi wananchi- na msituingize kwenye mambo yenu hayo