Abdulrahman Kinana Kimya sana mzee toka ulivyoandika ile barua yako ya kujiuzulu

Abdulrahman Kinana Kimya sana mzee toka ulivyoandika ile barua yako ya kujiuzulu

Mi mi

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2024
Posts
6,406
Reaction score
12,736
Kimya sana mzee toka ulivyoandika ile barua yako ya kujiuzuru ulikuwa wa mwanzo mwanzo kabisa kubwaga manyanga.

Umezisusa kabisa siasa za nyumbani ? Maoni yako ni yapi kuhusu mwenendo wa siasa zetu na kuhusu uelekeo wa chama chako na utendaji kazi wa aliyekuwa Mwenyekiti wako wa chama Samia wakati wewe ukiwa makamu ?
kinana-pic.jpg
 
Mzee uliona nini au ulitishiwa maana barua ilikuja ghafla kwa mtu kama wewe gwiji wa siasa za kijani ?
 
Back
Top Bottom