Abdulrahman Musa mfungaji bora wa VPL asema Mayanga ni muongo

Kwa hiyo ni sawa foward tunamtegemea Bocco na Stamil Mbonde

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tangu aanze kuitumia Simba kama taifa stars tumepoteza mechi ngapi?? Na kipindi kandambili wanatumiwa kama taifa stars tuliwahi kufungwa 7 nungeeee!

Pogba wa tz nchi imekushinda!
 
Ndio umechambua mwenywe umejiona Fundi..... Watu wanaongelea upendeleo wa Hizi team 2 nawewe umejiingiza Humo Humo... Jeeeh team zengne Hazina wachezaj wenye viwango... Vip Kuhusu Huyo Mubarak!? Nilitegemea ungemjibu Huyo aliyesema mgonjwa matokeo yake maelezo mengi point hamna
 

Hehehe imepenya hiyo ,hao wachezaji wa timu zingine ndo wakina nani ? Kina Tegete? Ngasa? Mwafilombe wa majimaji? Tena hakuna kocha aliyejaribu kubalance kikosi kama huyu ,makocha wengine wote wanaita wachezaji simba yanga na azam Labda na mtibwa. Lakini hapo kuna wa majimaji, mbeya city, prisons,mtibwa, kager sugar etc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…