Abdulrahmani Kinana kuanza ziara kwenye mikoa 4 kuanzia Jumamosi Aprili 23, 2022

Abdulrahmani Kinana kuanza ziara kwenye mikoa 4 kuanzia Jumamosi Aprili 23, 2022

BWANKU M BWANKU

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Posts
377
Reaction score
435
ZIARA YA MAKAMU MWENYEKITI WA CCM- BARA NDUGU ABDULRAHMANI KINANA KWENYE MIKOA 4 KUANZA KESHO JUMAMOSI.

KAZI INAENDELEA

Ziara ya uimarishaji uhai wa chama na kuhamasisha wana-CCM kujitokeza kushiriki uchaguzi wa ndani ya Chama unaoendelea.

#CCMImara
#KaziIendelee

IMG-20220422-WA0028.jpg

IMG-20220422-WA0027.jpg
 
Ni vyema acha ajenge chama chetu, tushindane kwa haki siyo kwa polisi!!

Hongera CCM mwelekeo mpya tunauona, siyo ile CCM ya ukandamizaji, udikteta na ukabila,

Tunakusubiria pia na huku kusini mwa Tanzania kuna jamaa alisema atatupigia shangazi zetu, Mungu akamlima rungu la kichwa🤣🤣🤣🤣
 
ZIARA YA MAKAMU MWENYEKITI WA CCM- BARA NDUGU ABDULRAHMANI KINANA KWENYE MIKOA 4 KUANZA KESHO JUMAMOSI.

KAZI INAENDELEA

Ziara ya uimarishaji uhai wa chama na kuhamasisha wana-CCM kujitokeza kushiriki uchaguzi wa ndani ya Chama unaoendelea.

#CCMImara
#KaziIendelee

View attachment 2196788

View attachment 2196789
Kweli hujafa hujaumbika. Huyu alivyotuhumiwa kumaliza tembo wetu na kumtukana Magufuli nani alijua angerudi? Kweli Tanzania ni shamba la bibi sasa.
 
JINNI lililovaa mwili wa binadamu limeanza kazi.

Ona uso wake!!

Maskini tembo wetu!!
 
Mbona Makamu wenzie tulikuwa hatuzioni safari hizoooo?
Naona alizi - miss sana hizo safari!
Mbona hatuoni Samia akifanya kama Magufuli? Swali hilo utajibu vipi? Utavyojibu swali hili ndiyo yatakuwa ni majibu ya swali lako
 
Ni vyema acha ajenge chama chetu, tushindane kwa haki siyo kwa polisi!!

Hongera CCM mwelekeo mpya tunauona, siyo ile CCM ya ukandamizaji, udikteta na ukabila,

Tunakusubiria pia na huku kusini mwa Tanzania kuna jamaa alisema atatupigia shangazi zetu, Mungu akamlima rungu la kichwa🤣🤣🤣🤣

Ccm haina uwezo tena wa kushindana kihalali maana imepoteza ushawishi kwa umma. Anapita kuhadaa umma, lakini vyama vingine vikianza kupita na kufanya siasa, wakiona uungwaji mkono wa upinzani vyombo vya dola vinaagizwa tena kuibeba ccm! Uzuri sasa hivi vijana wameshalipuuza box la kura.
 
Filed Marshal wa Siasa za Tanzania anaingia saiti, sio kuomba Hela kama Chadema, ila kuijenga CCM.

N.B. Huyu ni kampeni meneja wa maraisi karibu watatu, na wote walishinda, full professor wa sayansi ya Siasa za saiti...kwa wananchi, Nape ni Associate Professor
 
Ni vyema acha ajenge chama chetu, tushindane kwa haki siyo kwa polisi!!

Hongera CCM mwelekeo mpya tunauona, siyo ile CCM ya ukandamizaji, udikteta na ukabila,

Tunakusubiria pia na huku kusini mwa Tanzania kuna jamaa alisema atatupigia shangazi zetu, Mungu akamlima rungu la kichwa🤣🤣🤣🤣
Aione THE BIG SHOW
 
Kwa nini aanzie ziara kwenye mikoa yenye mbuga za wanyama?
Jamani wale wa Kilimanjaro na Arusha kaeni chonjo; chonde chonde tembo wetu!
 
Back
Top Bottom