BWANKU M BWANKU
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 377
- 435
Kweli hujafa hujaumbika. Huyu alivyotuhumiwa kumaliza tembo wetu na kumtukana Magufuli nani alijua angerudi? Kweli Tanzania ni shamba la bibi sasa.ZIARA YA MAKAMU MWENYEKITI WA CCM- BARA NDUGU ABDULRAHMANI KINANA KWENYE MIKOA 4 KUANZA KESHO JUMAMOSI.
KAZI INAENDELEA
Ziara ya uimarishaji uhai wa chama na kuhamasisha wana-CCM kujitokeza kushiriki uchaguzi wa ndani ya Chama unaoendelea.
#CCMImara
#KaziIendelee
View attachment 2196788
View attachment 2196789
Mbona Makamu wenzie tulikuwa hatuzioni safari hizoooo?Ameanza kula kwa urefu wa kamba yake
Mbona hatuoni Samia akifanya kama Magufuli? Swali hilo utajibu vipi? Utavyojibu swali hili ndiyo yatakuwa ni majibu ya swali lakoMbona Makamu wenzie tulikuwa hatuzioni safari hizoooo?
Naona alizi - miss sana hizo safari!
Ni vyema acha ajenge chama chetu, tushindane kwa haki siyo kwa polisi!!
Hongera CCM mwelekeo mpya tunauona, siyo ile CCM ya ukandamizaji, udikteta na ukabila,
Tunakusubiria pia na huku kusini mwa Tanzania kuna jamaa alisema atatupigia shangazi zetu, Mungu akamlima rungu la kichwa🤣🤣🤣🤣
Aione THE BIG SHOWNi vyema acha ajenge chama chetu, tushindane kwa haki siyo kwa polisi!!
Hongera CCM mwelekeo mpya tunauona, siyo ile CCM ya ukandamizaji, udikteta na ukabila,
Tunakusubiria pia na huku kusini mwa Tanzania kuna jamaa alisema atatupigia shangazi zetu, Mungu akamlima rungu la kichwa🤣🤣🤣🤣