Abed Mziba, Zamoyoni Mogella, Madaraka Selemani na wenzenu mmedharauliwa

Abed Mziba, Zamoyoni Mogella, Madaraka Selemani na wenzenu mmedharauliwa

Sio kila kitu ni siasa…. What if wameheshimika kwa kukaa mbali na siasa
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Ipo siku nawao wataitwa chini tofauti tofauti (kama sisi tz tulimuona drogba basi nawao wataonwa uko)
 
Zamoyoni mogella ana deal na maisha yake tu mambo ya camera camera hana mpango nayo

Ova
 
Hata wenyewe mmeona, wanatumiwa nauli na kupewa posho nzito akina Drogba, lakini nyinyi mliotoa Jasho na damu kwa ajili ya Nchi yenu mnaendelea kupigwa vumbi

Pole Lunyamila na wenzako, Tenda Wema uende zako
Waziri 'makebo " hana uelewa wala akili njema.Aibu sana.
 
Back
Top Bottom