Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
SIASA umeletwa weweSio kila kitu ni siasa…. What if wameheshimika kwa kukaa mbali na siasa
Wakati wanacheza Waziri wa Mchezo alikuwa kolomijeWajenzi wa msingi kuna muda hata Msaada wa Dawa ndogo ndogo wanakaushiwa.
Huwezi kueleweka… we mwenyewe hujielewiSijui kama naeleweka
Waziri 'makebo " hana uelewa wala akili njema.Aibu sana.Hata wenyewe mmeona, wanatumiwa nauli na kupewa posho nzito akina Drogba, lakini nyinyi mliotoa Jasho na damu kwa ajili ya Nchi yenu mnaendelea kupigwa vumbi
Pole Lunyamila na wenzako, Tenda Wema uende zako