Abeid Amani Karume aliwatimua Wamakonde visiwani

Siyo kweli. Nasema siyo kweli miaka yangu 20 kisiwani siyo kweli. Kisiwani hakuna kabila kuna watu mchanganyiko utamfukuza nani umuache nani?

Kwahiyo Nyerere aliyekuwa kwenye siasa za Tz enzi hizo alikuwa anadanganya ila tuamini maneno yako hapa?

Ni sawa na kusema kwasasa eti raia wa kawaida (mfano wewe) una intel za kinachoendelea Tz kuliko SHH au JK.
 
Kwa hiyo zanzibar wamakonde wapo, vipi wanaongea kimakonde kama wenzao wa kusini? Walifukuzwa wote au kuna waliosalia? Hiyo zanzibar ya sasa inatakiwa ijazwe na makabila yote yaliyoko tanzania kama ilivyo jiji la dar lenye mchanganyiko wa makabila yote huku wenyeji wakimezwa na wageni
 
Mbona ndio ilivyo
 
Mkuu, ebu andika ili nasi wenye changamoto ya kusikia tuelewe kwa kusoma.
HISTORIA YA WAMAKONDE WALIOINGIZWA ZANZIBAR KUTOKA TANGANYIKA

Nakumbuka mara ya kwanza nilipoonana na Dr. Harith Ghassany nyumbani kwake Muscat.

Ilikuwa mwaka wa 1999 ndipo nilipokutana na Dr. Harith Ghassany tukawa marafiki ndugu.

Mwezi wa Ramadhani ulinukuta Muscat Harith alinialika futari nyumbani kwake.

Harith alinifahamisha kuwa ana azma ya kuandika kitabu kuhusu Zanzibar na hapo ndipo nilipomfahamisha kisa nilichosikia Tanga kuwa kulikuwa na kambi ya Wamakonde Kipumbwi ambapo ndipo walipokuwa hawa Wamakonde wakipewa mafunzo kisha kuvushwa kwenda Zanzibar kuipigia kura ASP uchaguzi wa wa 1961 na mwaka wa 1964 kushiriki katika kupindua serikali ya Sheikh Mohamed Shamte.

Harith alinisikiliza kimya wala hakunisaili na akasema kuwa atakuja Tanga ambako mimi ndiko nilikokuwa naishi.

Alifika Tanga na nikaweka miadi na Mzee Mohamed Mkwawa.

Huyu Mzee Mwakwa ndiye aliyekuwa anawavusha Wamakonde waliokuwa wakata mkonge Sakura Sisal Estate usiku kwa siri kutoka Kipumbwi na kuwapeleka Zanzibar.

Nilimshusha Harith nyumbani kwa Mzee Mkwawa sehemu za Kisosora kisha mimi nikaendelea na shughuli zangu nyingine.

Niliporudi mchana kumchukua mgeni wangu kitu kilichonistaajabisha ni kuwa nilimkuta Harith kakalia mgongo, kachoka na kasawajika.

Sikusema neno.

Tulikuwa tumeandaliwa chakula cha mchana.
Nakumbuka tulipiga kipunga na samaki.

Kumaliza namwambia Harith twende zetu.
Jibu alilonipa lilinishangaza.

''Wewe nenda njoo nichukue jioni mimi na Mzee Mkwawa hatujamaliza mazungumzo yetu.''

Nikashangaa nikajiambia haya mazungumzo toka asubuhi hadi dhuhri yapata saa nne hayajesha na sasa wanaendele ahadi alasiri.

Nilipokuja kumchukua jioni ile alipoingia kwenye gari kitu cha kwanza nilichomuuliza ilikuwa, ''Imekuwaje mbona umechoka hivyo umenitisha sana leo.''

''Sikiliza ufunguo wa kitabu chetu anao Mzee Mkwawa mimi nimetembea maktaba zote kubwa Marekani na Ulaya sijakuta haya aliyonieleza Mzee Mkwawa kuwa katika ardhi ya Tanganyika kuliwekwa kambi ya mamluki wa Kimakonde kuvamia Zanzibar na kupindua serikali.''

Sikushangaa kwa nini Harith nilimkuta kakalia mgongo wake na kachoka sana.

Hakika Mzee Mkwawa alikuwa kashika ufunguo wa kitabu chake Dr. Harith Ghassany.

Kilichobaki ilikuwa kumfikisha Dr. Harith Ghassany Kipumbwi kisha amkutanishe na Victor Mkello aliyekuwa kiongozi mkuu wa chama cha wakata mkonge.

Wamakonde kuingia Zanzibar wakisaidiwa na vyombo vya usalama vya Tanganyika.

Karume alikuwa anawarudisha Wamakonde kule walikotoka.

Historia hii ya hawa Wamakonde iko katika kitabu cha Dr. Harith Ghassany, ''Kwaheri Ukoloni Kwaheri Uhuru.''

1683209612205.jpeg

Mohamed Omari Mkwawa ameshika kitabu
''Kwaheri Ukoloni Kwaheri Uhuru''​
 
View attachment 2609781
Mohamed Omari Mkwawa ameshika kitabu
''Kwaheri Ukoloni Kwaheri Uhuru''​
Nimekipata online, nitasoma taratibu. Asante
 
Attachments

Nyerere na hao wajomba zako wa kariakoo walikua na tamaa za madaraka tu hawakupaswa kudai Uhuru mapema tulikua bado hatujaweza kujitawala bado na ndio wametuingiza kwenye hizi shida nyingi za CCM na mafisadi
 
Back
Top Bottom