Afadhali.Maana Rau madukani kuna dada muuza mbege aliyefundishwa kutoa ushahidi wa uongo.Dah! Hii mada miaka 7 hajawahi kuchangia mtu mpaka mimi leo.
Afadhali.Maana Rau madukani kuna dada muuza mbege aliyefundishwa kutoa ushahidi wa uongo.
Hahaha! Anajua mpaka silaha na na namba zake wakati ni muuza mbege tu. Wakati huohuo hana uwezo wa kuona vizuri rangi zilizopo mita 5 tu.Afadhali.Maana Rau madukani kuna dada muuza mbege aliyefundishwa kutoa ushahidi wa uongo.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Dah! Hii mada miaka 7 hajawahi kuchangia mtu mpaka mimi leo.
Hebu fikiria kama kesi ingeendeshwa kwa siri.Hahaha! Anajua mpaka silaha na na namba zake wakati ni muuza mbege tu. Wakati huohuo hana uwezo wa kuona vizuri rangi zilizopo mita 5 tu.