Abel Onesmo sio MFALME WA LUGHA

Abel Onesmo sio MFALME WA LUGHA

dafity

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2008
Posts
1,858
Reaction score
2,059
Kila anapomaliza kumkaribisha Oni Sigala (Mhariri Mtendaji wa BAKITA) humalizia kwa kujiita eti "Mfalme wa Lugha". HAPANA Abel USIFANYE HIVYO. Sioni chochote cha wewe kujiita jina hilo KUBWA LINALIKUPWELEPWETA kwa kiasi kikubwa sana. Hujawahi kutaja hata maana moja ya neno, kazi hio huifanya Oni Sgala kwanini yeye asiwe mfalme wa lugha badala yake uwe wewe unayemKARIBISHA TU?

Jina hili ulilojiita LINALETA UKAKASI na akili haitaki kulikubali. Jiite MUONGEAJI WA LUGHA halina tabu.
 
Hivi sikuhiz yuko wapi maana saiv kuna Phillip Mwihava?
 
Back
Top Bottom