Abela Kibira

Abela Kibira

jmushi1

Platinum Member
Joined
Nov 2, 2007
Posts
26,329
Reaction score
25,263
Hivi huyu bidada miziki yake huwa inapigwa bongo?
1326919564_1628141224938_1278781277_31824243_1826906705_o.jpg


Kwa habari zaidi kuhusu miziki yake na bio gonga chini...
ReverbNation

My take: huyu dada ni mwanamziki ambaye maybe hajapata producer ama direction.Sijaweza kuona nyimbo yake, however ni "mwanamziki"
 
Ndo nani huyu hajawahi kusikika popote nimejaribu hata ku-google sipati any profile yale mmh
 
Back
Top Bottom