Habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba msanii aliyejizolea mashabiki wengi hapa nchini kwa staili ya muziki wake aliokuwa akifanya, Mr Ebbo ameaga dunia leo. Mr Ebbo alikuwa anasumbuliwa na maradhi kwa muda mrefu na amefariki akiwa nyumbani jijini Arusha. Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi. AMEN