TANZIA Abeli Motika (Mr. EBBO) Afariki Dunia

TANZIA Abeli Motika (Mr. EBBO) Afariki Dunia

Duh nimeusikia wimbo wa kamongo asubuhii hii ila sikujua kuwa kaondoka...Kapumzike kamongo!!
 
R.I.P Mr. Ebbo, everybody will always appreciate what u did. Bwana ametoa na bwana ametwaa, jina la Bwana lihimidiwe
 
Moved manake nini

Maana yake ni kwamba iliwekwa kwenye jukwaa fulani(say jamii intelligence kwa habari kama hii ya Mr.Ebbo) na mods wakaona thread husika haifit sana hapo na wanaipeleka inakostahili. RIP Abel Motika,bwana akupe raha ya milele na mwanga wa milele akuangazie.We'll be missing you big time.
 
Jamani nasikia Mr ebbo Amefariki dunia leo hii, ila sina taarifa sahihi na zaidi ya hii niloweka hapa kama kuna mtu ana info zaidi atujuze
 
Raha ya milele umpe ee bwana na mwanga wa milele umwangazie. Apumzike kwa amani Amina.
 
Jamani nasikia Mr ebbo Amefariki dunia leo hii, ila sina taarifa sahihi na zaidi ya hii niloweka hapa kama kuna mtu ana info zaidi atujuze

Nenda kwenye celebrities!tayari iko kule long time ago
 
M.A.p Mr.Ebbo bado miss tatuuu


Mbona unaandika kwa mafumbo? andika kila mtu aelewe,na wewe unajiita great thinker,aren't you ashamed?so sad brother/sister. Your particulars hereunder say it all!! pole sana





Join Date : 12th September 2011
Location : Bong"oa Nikusweke
Posts : 193

Rep Power : 21
 
RIP Mmasai...Ulijitahidi kudumisha mila..:A S-coffee:
 
Haya ndiyo maisha....kila siku ukiamka kama bado unapumua ni kama vile umepewa zawadi...! RIP
 
R.I.P Kaka yangu ndugu yangu Mpendwa. We will Miss you alot. Am playing Mr. Ebo Songs ONLY today!
 
Aliwahi kuvuma na nyimbo km mi mmasai bwana, boda boda nk amefariki dunia jana baada ya kuugua kwa muda mrefu. SOUCE: TBC 1
 
Back
Top Bottom