TANZIA Abeli Motika (Mr. EBBO) Afariki Dunia

TANZIA Abeli Motika (Mr. EBBO) Afariki Dunia

Ee kifo, kifo hakina huruma!!!!
Poleni wana JF! Poleni mashabiki wake! Poleni wanafamilia!
Yeye (Mwenyezi Mungu) alitoa na yeye amechukua
 
Poleni sana,

Huyu jamaa alikuwa anatukumbusha kuhusu mila na tamaduni za Tanzania na Mwafrika kwa ujumla,

Pumzika kwa amani Bwana EBO,

Poleni sana,kazi ya Mungu haina makosa.
 
"Wa kusoma" sijakusoma kabisa.

RIP Mr Ebo.
 
RIP Ebo. Huo muda mrefu alikuwa anaumwa nini? Sijamsikia kwnye stage siku nyingi sana. Mwenyezi alaze roho yake pema poponi AMEN.
 
Duniani Mapito tu, Maisha ya milele yapo Mbiguni kwa baba, hakuna kiumbe kitakachoishi milele -- Nawashangaa sana wanaotubania katiba as if ni yao na wao wataishi milele. Wapeni haki zao; Tanganyika si kampuni yenu - MUmeikuta na MUtaiwacha.

RIP Super staa...Mimi ni Mmasai bwana!!!
 
Tumempoteza mtu muhimu kwa jamii, ambaye alijtambua na akatukuza utu wake bila kuiga na kujikana kama wengi walivyo.
Mungu Aiweke Roho Yake Mahali Pema Peponi!
 
R.I.P Mr. Abell Motika msiba uko huku Arusha maeneo ya Moshono hakika nitahuzuria katika mazishi yake hata mimi alikua ni mtu wangu wakaribu mno!
 
poleni watz wote tutakukumbuka daima nenda kamsalimie max,nyerere mwambie nchi imeshakuwa ya mafisadi
 
Upate pumziko la amani! Fariji familia yake na ndugu zake mungu!
 
Mr. Ebbo ni moja kati ya wasanii ninaowakubali na moja ya kazi aliyoifanya ninayoikubali ni hii hapa kwenye link ambapo nawaomba wadau JF tuujadili wimbo huu na kutoa mawazo yenu mr. ebbo alikusudia kuwambia nini watanzania. Hii ni moja ya njia za kumuuenzi msanii huyu mahiri aliyetutoka na hakika mie nitammisi sana kwani ni msanii aliyeweza kutumia vionjo asilia kuupendezesha mziki wake.

pamoja sana

http://www.eastafricantube.com/media/100/Mr._Ebbo_-_Mbado/


 
RIP brother........You showed that even the Masaai can do it....
 
Back
Top Bottom