TANZIA Abeli Motika (Mr. EBBO) Afariki Dunia

TANZIA Abeli Motika (Mr. EBBO) Afariki Dunia

R.i.p Abel loshilaa Motika .will mic u broda .
 
Acha kuzushia watu kifo mkuu.
kama huna uhakika kwa nini ulete habari hii hapa???
sio kwamba sina uhakika, huyu jamaa kafia Arusha maeneo ya Usa, hapa nilipo naishi karibu kabisa na shangazi ake, maeneo ya kimandolu, na chalii aliekuwa ana muuguza ni chalii etu, ambae ni binamu yake. Kwaio nna uhakika na hii habari.
 
Alikuwa mgonjwa kwa mda kidogo . Rip broda.
 
kwa taarifa zilizotufikia asubuh hii mwanamuziki aliyevuma sana Mr Ebbo katutoka

R I P kamanda
 
jamani nani ana habari kamili kuhusu huyu msanii wa kizazi kipya mr EBO....???
 
Me mmasai bana nasema me mmasai.......

RIP Brother.
 
Back
Top Bottom