TANZIA Abeli Motika (Mr. EBBO) Afariki Dunia

TANZIA Abeli Motika (Mr. EBBO) Afariki Dunia

RIP Mr Ebbo home kwakwe kisosora nilikuwa napitaga.

Sisi kwetu nguvumali juu kule.

Enzi zile Yuko hotcake tulikuwa tunamwona kitaa na gari yake RAV4 short Chases.

Alikuwa na Mke nzuri mrefu White hivi.Nasikia nae alidanja kitambo.

RIP

Mango mano nasa.
 
Back
Top Bottom