Kitimoto
JF-Expert Member
- Aug 25, 2012
- 6,941
- 7,808
Ilo gari hata kwa milioni 2 hakuna atakayenunua!Punguza mashauzi mtoto wa kiume
Unahangaika na watu wasiohangaika nawe.
Hilo deni alienunua gari angemalizana na mmiliki..shida yako nini?
Sina I'd nyingine na uache kumzushia huyo usiemjua
Naona una hamu nikujibu...chukua airtime
Sitajibizana nawe tena kamwe..usiatarajie!
.
Bweka ukimaliza kalale!