Hapo ungesema Mbarikiwa alinganishwe na Abiud na sio Abiud alinganishwe na Mbarikiwa.
Uyole Mbeya, Zamani Block T Soweto MbeyaHivi Abiud kanisa lake liko wapi?? Moja Kati ya wish yangu ni kuabudu naye siku moja.
Asante Mkuu, siku moja nitasafiri kwenda kusali kwake.Uyole Mbeya, Zamani Block T Soweto Mbeya
Ha ha ha ha mbona Mimi ni mpare same sehemu inaitwa mwembe
Nimevutiwa na huu wimbo.Watu wanawaleewa hao watu kiasi kikubwa na jamii ya watu wa MBEYA na wilaya zake .. Mimi kwa upande wangu wa nyimbo za dini nasikiliza classical kama hii
Yaah umenenaMisholi ladba apambane na Ambwene Mwasongwe.
Mwasongwe ni habari nyingine yule.Yaah umenena
Mwasongwe naye si haba
Mkuu mwembe napafahamuHa ha ha ha mbona Mimi ni mpare wa same sehemu inaitwa mwembe
Basi watu wengi wanapenda kuabudu kuliko kusifu maana ndani ya sifa kumejaa unafiki kumbuka hata binadamu Leo wanasifiwa bila sababu za msingi ila mungu ndio anae abudiwa!!Hawa watu hawafanani, mzani hauja balance. na kama unataka uwaandalie tamasha, waite wote maana kila mmoja ana upande wake(kuabudu na kusifu)