Abihudi Misholi vs Boni Mwaitege

Abihudi Misholi vs Boni Mwaitege

Kwa waimbaji wa injili ninaowasikia sasa hivi wanaume
1.Abiudi
2.Abiudi
3.Abiudi
4.Abiudi
5.Abiudi
6.Mwahangila
7.Mwasongwe
8.Sifaeli
9.
10.
11.
12.
13.
14.
15.Mwaitege kwa upendeleo.
 
Hivi Abiud kanisa lake liko wapi?? Moja Kati ya wish yangu ni kuabudu naye siku moja.
 
Asante Mkuu, siku moja nitasafiri kwenda kusali kwake.
Niliabudu nae siku moja tukuyu aisee hana makuu pamoja na jina kubwa alikuwa na semina ya wiki moja kwenye kajumba kadogo tu sikuamini
 
Hapa utawapata wanyakyusa au watu wa jamii za mbeya
 
Watu wanawaleewa hao watu kiasi kikubwa na jamii ya watu wa MBEYA na wilaya zake .. Mimi kwa upande wangu wa nyimbo za dini nasikiliza classical kama hii
Ha ha ha ha mbona Mimi ni mpare same sehemu inaitwa mwembe
 
Watu wanawaleewa hao watu kiasi kikubwa na jamii ya watu wa MBEYA na wilaya zake .. Mimi kwa upande wangu wa nyimbo za dini nasikiliza classical kama hii

Nimevutiwa na huu wimbo.

Nipe Top 5 ya nyimbo uzipendazo ili niongeze kwenye playlist yangu.

Ahsante
 
1543245007149.png
 
Attachments

Sipendagi kuwashindanisha watumishi ila nyimbo za mchungaji Abiudi Misholi Zinanibarikigi sana

pamoja na za Ambwene Mwasongwe, baraka massa, upendo nkone, john lisu, angel magoti, n.k
 
Misholi na Mwaitege[emoji16][emoji16][emoji16]mbona hawafanani hata kidogo!unatutafuta lawama wewe kufananisha singeli na soul.
 
Hawa watu hawafanani, mzani hauja balance. na kama unataka uwaandalie tamasha, waite wote maana kila mmoja ana upande wake(kuabudu na kusifu)
 
Hawa watu hawafanani, mzani hauja balance. na kama unataka uwaandalie tamasha, waite wote maana kila mmoja ana upande wake(kuabudu na kusifu)
Basi watu wengi wanapenda kuabudu kuliko kusifu maana ndani ya sifa kumejaa unafiki kumbuka hata binadamu Leo wanasifiwa bila sababu za msingi ila mungu ndio anae abudiwa!!
 
Back
Top Bottom