Abihudi Misholi vs Boni Mwaitege

Abihudi Misholi vs Boni Mwaitege

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Kwakweli imebidi nije kwenu maana humu ndio penyewe kwa kila jambo naomba msaada wa kimaamuzi kwa sasa wapenzi wa gospel kati ya hao magwiji wawili nani mkali ?

Andika jina tu kwa unayeona nyimbo zake ni nzuri mnoooo hakuna kila binadamu anaupande wake bila unafiki Mimi nàmkubali Abihudi Misholi


Twende kazi
 
Back
Top Bottom