Wewe ni mshabiki wa Gospel,ila kweli ya Mungu haipo ndani mwako
WEWE NI NANI MPAKA UMHUKUMU, WATU MNA SHIDA KWELI
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni mshabiki wa Gospel,ila kweli ya Mungu haipo ndani mwako
Tenda miujiza usiache Bwana mwaka huu upite,
Acha kufananisha Mwahangila na watu wa ajabu.Mmoja nyimbo za kuabudu na kutafarakari (abihudi)
Mwingine nyimbo za kusifu (mwaitege)
Hakuna fairness kwenye kutafuta ubora wa kila mmoja
Kulingana na aina ya tungo/utunzi wao.
Ili iwe fair ingekua hivi
Sedekiya vs abihudi
Mwaitege vs mwahangila (mungu ni mungu tu)
Aisee huyu huwa naona tu baadhi ya nyimbo zake kumbe ndio jina lake
MuombeePamoja na umaarufu wake misholi hana makuu maskini wala skendo cjawahi kusikia akihusishwa na lolote
Acha tu akisimulia Mungu alipomtoa na mapito aliyoyapitia ana kila sababu ya kuendelea kumtumikia Mungu..[emoji23][emoji23][emoji23]
Abiud Misholi nikikumbuka huyu jamaa utotoni alikua bangi sana,
Mwal, nilitaka kupita kimya ila acha kulinganisha Abiud na watu wa ajabu, huyu mwakipesile haingii hata mara hizi 000000
Mwal, nilitaka kupita kimya ila acha kulinganisha Abiud na watu wa ajabu, huyu mwakipesile haingii hata mara hizi 000000
Hiyo kazi aliipenda sana,abiud alikua anapiga shati lake limetoboka mgongoni,suruali ina celebration kali kalinyoosha na tai Huku hana viatu anaingia kwa mafimbo anahubiri na ataimba sana kumtukuza Mungu.Acha tu akisimulia Mungu alipomtoa na mapito aliyoyapitia ana kila sababu ya kuendelea kumtumikia Mungu..
Kwani kwao ni wapi?Sijui hata km alikua anatumia kilevi au bangi, ila jamaa alikua waruwaru sana, labda stress za life maana kwao kulikua na majanga sana.
Singida Utemini Pale kwaoKwani kwao ni wapi?