Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsante kwa taarifa ipo siku lazima niende nampenda sana huyu babaUyole Mbeya, Zamani Block T Soweto Mbeya
Acha masihara bro...yani huyo dogo amfikie abiudi? Kaskilze album ya abiudi..huyu mzee shidaWote wawili hawana kitu kwa huyu Dogo anaitwa Joel lwaga,ameimba sitabaki km nilivyo
No Singida Utemini, mnyiramba kwa baba na mama.Abihudi kwao sio mbeya kweli
Ila hiyo kazi aliipenda tangia utotoni, kuna kaka yake alikua mtumishi miaka hiyo simkumbuki jina Martin sijui, sasa alikua kabla na baada ya mahubiri Abiud Anaimba halafu wananena kwa lugha,sasa si marafiki zake mtaani tukiskia vile tunashangaa maana ukimkuta siku za kawaida sio yeye kabisaAcha tu akisimulia Mungu alipomtoa na mapito aliyoyapitia ana kila sababu ya kuendelea kumtumikia Mungu..
ABIHUDI NA MKEWE CHEUPE HAKIKA WANANIBARIKI.Abiudi habari nyingine yule jamaa nikiwa na ma feeling yangu naweka nyimbo zake tu da jamaa anakipaji
Wote wawili hawana kitu kwa huyu Dogo anaitwa Joel lwaga,ameimba sitabaki km nilivyo
Wote wawili hawana kitu kwa huyu Dogo anaitwa Joel lwaga,ameimba sitabaki km nilivyo
Abiud sio mtu wa Mbeya labda maisha alihamia kule badae ana ndugu zake.Lipo mbeya nzovwe chinichini kule