Abiola Cup ina tofauti gani na Kombe la Shirikisho Africa?

Hujaelewa nn apo kwa mdau? kichwa chako kimejaa kamas kiasi cha kushindwa kuelewa Jambo dogo hili
Mtu asiye na hoja utamgundua kwa kuporomosha matusi badala ya kuonyesha hoja yake
Mashindano ya 1993 CAF Cup yalikuwa na Preliminary Round, First Round, Second Round, Quarter Final, Semi Final na Final. Sasa sijajua timu iliyofika Fainali itawezaje kucheza mechi tatu
 
Huenda haujui business katika mpira. Yaani hicho ulichoandika ni sawa na kusema CAF CL na CAF CC ni kombe la Total Energies, sio la CAF, au NBC Premier League ni kombe la NBC, sio la TFF
MKUU pamoja ufafanuzi huu mzuri ila vyura bado hawatakuelewa kwa kuwa wenye akili ni wawili na bahati mbaya hao wawili hawapo jamiiforum.
 
Kazi sana kuelekeza watu wenye majibu yao kichwani...na ambao hawataki kusikia ukweli..
 
Viongozi wetu Simba acheni kutafuta sababu, hiyo ni historia ilishapita tunataka tufurahi Leo. Hela za robo fainail CUF mara mbili ziko wapi? Kwa Nini mlisajili magalasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…