Bingwa wa Shirikisho anakutana na Bingwa CAF Champions ili kupata Bingwa wa Super Cup lakini Bingwa wa Kombe la Abiola alikuwa hashiriki Super Cup na badala yake aliyekuwa anashiriki ni Bingwa wa Kombe la Washindi, yaani Klabu Bingwa vs Kombe la Washindi na sio Klabu Bingwa vs Abiola CupSimba guvu moya,
Naombeni mnipe tofauti yake wadau, maana sisi Wanalunyasi tumekomaa sana na hili Abiola Cup?