Abiola Cup ina tofauti gani na Kombe la Shirikisho Africa?

Simba guvu moya,

Naombeni mnipe tofauti yake wadau, maana sisi Wanalunyasi tumekomaa sana na hili Abiola Cup?
Bingwa wa Shirikisho anakutana na Bingwa CAF Champions ili kupata Bingwa wa Super Cup lakini Bingwa wa Kombe la Abiola alikuwa hashiriki Super Cup na badala yake aliyekuwa anashiriki ni Bingwa wa Kombe la Washindi, yaani Klabu Bingwa vs Kombe la Washindi na sio Klabu Bingwa vs Abiola Cup
 
Abiola hata ndanda wanaweza shiriki. Jezi mnavaa hata za cricket sawa tu,kipa akidaka mpira anaweza akalala nao hata nusu saaa,mpira ukitoka corner mara tatu mtawalio mnapigiwa penati,refa anavaa singilendi nk
 
Abiola hata ndanda wanaweza shiriki. Jezi mnavaa hata za cricket sawa tu,kipa akidaka mpira anaweza akalala nao hata busy saaa,mpira ukitoka corner mara tatu mtawalio mnapigiwa penati,refa anavaa singilendi nk
Unamaanisha lile lilikuwa kama bonanza
 
Golikipa James Phiri wa Stella Abdijan akinyanyua juu kombe la CAF kwenye Uwanja wa Taifa (sasa Uwanja wa Uhuru) mwaka 1993. Wadau mlikuwepo kama mimi? Kesho kombe linaenda na wageni tena.
 

Attachments

  • tmp-cam-115751800210875269.jpg
    129.6 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…