Nimeiona hiyo kuwa Tanzania ni moja ya mataifa ambayo abiria kutokea kwetu lazima kufanyiwa vipimo zaidi ya mara mojaHutaweza kusafiri kwenda Dubai kama huna cheti cha vipimo vya COVID 19 na kama utajidanganya eti hutapima basi sahau maana ukiingia kwao wanakupima tena na Ole wako ukutwe na COVID 19.
Wazee wa ficha ficha hapa lazima mpatikane! Eti kipimo kinasababisha matatizo ya ubongo!
Nakumbuka Mchechu wa NHC alivyowapeleka akina Halima Mdee huko Dubai kula bata!
Huku tunakoenda watatulazimisha tuchanje chanjo ya corona...
Kosa letu nini? Kutoweka lockdown? Walokoweka lockdown corona imeisha?
Kwa Wasafiri,
Ila Itapoanza kazi na vile misongamano na barakoa zepigwa marufuku.hofu yake ni kama ilivyokuwa kupima HIV.
Wala sio kiherehere Bali ni upuuzi furani umejaa kwa kichwa lake
Kama wewe ulivyopelekwa Dubai na Polepole kujivinjari,wewe dada kiboko sana
Kuwa kada wakati mwingine ni mzigo.Huku tunakoenda watatulazimisha tuchanje chanjo ya corona...
Kosa letu nini? Kutoweka lockdown? Walokoweka lockdown corona imeisha?
Furani=MakinikiaWala sio kiherehere Bali ni upuuzi furani umejaa kwa kichwa lake
Umeshapanic mmakonde!Wacha wivu wa kishamba wewe, unawezaje kumuonea wivu mwanamke kutolewa out na mwanamme? Au ulitaka wewe ndiyo akutoe out huyo jamaa?
Kuna wakat unawaza watanzania wanahitaji nini hasa.Hutaweza kusafiri kwenda Dubai kama huna cheti cha vipimo vya COVID 19 na kama utajidanganya eti hutapima basi sahau maana ukiingia kwao wanakupima tena na Ole wako ukutwe na COVID 19.
Wazee wa ficha ficha hapa lazima mpatikane! Eti kipimo kinasababisha matatizo ya ubongo!
Hahahaaaa....... hahahaaaa......... Umeshatoka kisutu bwashee!!Kama wewe ulivyopelekwa Dubai na Polepole kujivinjari,wewe dada kiboko sana
Mnacho kifurahia ndicho kitakachozuwia wangalizi wa uchaguzi toka huko duniani, ndiyo maana michadema tukiwaambia akiri hamna mnakasirikaHutaweza kusafiri kwenda Dubai kama huna cheti cha vipimo vya COVID 19 na kama utajidanganya eti hutapima basi sahau maana ukiingia kwao wanakupima tena na Ole wako ukutwe na COVID 19.
Wazee wa ficha ficha hapa lazima mpatikane! Eti kipimo kinasababisha matatizo ya ubongo!
Unafurahia?Huo utakuwa mlipuko kuliko hata ule wa Hiroshima