Abiria kutoka Tanzania watahitaji kupimwa maambukizi ya virusi vya Corona mara mbili ili kuruhusiwa kuingia UAE (Umoja wa Falme za Kiarabu)

Huku tunakoenda watatulazimisha tuchanje chanjo ya corona. Kosa letu nini? Kutoweka lockdown? Walokoweka lockdown corona imeisha?
Kenya wanadai ndio kwaanza mlipuko umeongezeka, likewise USA πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mmh, kuna uteuzi nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…