Abiria mwenzangu ananiomba kumlipia nauli...!!

Abiria mwenzangu ananiomba kumlipia nauli...!!

Wanajanvini, asbh na mapema nilikuwa naelekea Bagamoyo sasa kuna binti nilimkuta kakaa tayari nami nikikaa kwenye sit aliekaa yule binti sasa ndipo akaanza kunishobokea nimlipie nauli eti yeye nauli yake haitoshi sasa nikamwambia anipe ile nauli isiyotosha ili nilipe yeye hataki ananitolea shida nyingine anasema hana pesa ya kula njiani sasa huu msaada au mzinga. ....?
Maadamu wote mnaishi Dar mlipie tu kwani kuna siku na wewe atakununulia Chips chakula chenu.
 
hapa ndo nlisema mizinga imekuwa too much atoto na rafiki yake wanadai nawafanya legelege wasitimize majukumu. haya ni majukumu ya huyu kaka? huyo ni mkewe au mpenzi wake?
 
Back
Top Bottom