Tutake radhi tafwadhali hahaha
Umeona eeh, wametufananisha tuachana nao... watakua wametufananisha na wakinga hao!!!
Tutake radhi tafwadhali hahaha
achana nao... watakua wametufananisha na wakinga hao!!!
Mi nimeandaa mihogo na maharage kama babu wa karatu