and 300
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 26,398
- 36,406
Ni ukweli usiopingika kuwa abiria wengi wa Fastjet ndo mara ya kwanza kupanda ndege (toka kuumbwa kwa Ulimwengu huu) hapa nasisitiza hasa wale wanaotokea/wanaopandia Uwanja wa SONGWE-MBEYA. Hawa watani zangu toka Nyanda za Juu kusini walivyo wabahili wakiwa wanasafiri husafiri mpaka na ugali & Mboga kwa ajili ya kula njiani wanadhani ndege ni kama Basi. Nyie kina Mwakatobe acheni ushamba kazi kushangilia UKAWA lakini exposure hamna.