Abiria wametelekezwa na wahudumu wa basi la Al-said Dar-Morogoro. Wuko Mbezi Magufuli bus teminal

Mnandi Jr

Member
Joined
May 30, 2026
Posts
78
Reaction score
119
Salam wakuu.

Tuko Mbezi Magufuli bus teminal, Abiria wametelekezwa na wahudumu wa basi la Al-said Dar-Morogoro,

Tumeambiwa gari inakuja saa nane mchana, mpaka mda huu saa kumi na mbili jioni gari hakuna,

Wahudumu waliokata tiketi hawatoi majibu ya kueleweka. Na wote wameondoka hapa hatujui walipo wala mustakabali wa sisi kusafiri haujulikani.

Tumejaribu kupigia namba zilizopo kwenye tiketi ili kuomba msaada bado hakuna msaada wowote wanaotupatia.
 
Salam wakuu.
Tuko mbezi.. magufuli bus teminal. Abiria wametelekezwa na wahudumu wa basi la Al-said Dar-Morogoro,

tumeambiwa gari inakuja saa nane mchana, mpaka mda huu saa kumi na mbili jioni gari hakuna,

wahudumu waliokata tiketi hawatoi majibu ya kueleweka. Na wote wameondoka hapa hatujui walipo wala mustakabali wa sisi kusafiri haujulikani.

Tickets mnazo? Je inaonyesha muda wa kuondoka, alafu kituo cha polisi si kipo hapohapo stend karipoti watawasaidia na ukitaka kuvuna pesa zaidi kafungue kesi ya kudai kulipwa fidia ya million 100.

Vitu kama hivi ni hapahapa bongo kwa nchi wenzetu ofisi ikifanya ujinga kama huo ndio imefilisika teyari hiyo maana italipa fidia kubwa sana.
Bongo elimu bado sana
 
Wanaharibu biashara!
 
Tiketi tunazo mkuu, na muda wa tiketi unaonyesha saa saba na nusu
 
Hii michezo bado inafanyika tu mpaka miaka hii?!
 
Salam wakuu.
Tuko mbezi.. magufuli bus teminal. Abiria wametelekezwa na wahudumu wa basi la Al-said Dar-Morogoro,

tumeambiwa gari inakuja saa nane mchana, mpaka mda huu saa kumi na mbili jioni gari hakuna,

wahudumu waliokata tiketi hawatoi majibu ya kueleweka. Na wote wameondoka hapa hatujui walipo wala mustakabali wa sisi kusafiri haujulikani.

Tumejaribu kupigia namba zilizopo kwenye tiketi ili kuomba msaada bado hakuna msaada wowote wanaotupatia.
Poleni jamani
 
Unakata ticket kwa mtu mkononi kwa Dunia hii ya sasa? Kweli mnatakaga kuibiwa
Unaweza kukata huko online na mkazinguliwa vile vile,iliwahi kunikuta ilo. Muhimu ni kupanda gari kampuni uliyozoea na unaifahamu. Changamoto inakuja kwa route ambayo husafiri mara kwa mara huna taarifa za mabasi sahihi hivyo pengine inakulazimu uingie kwenye ofisi za hao maagent uchwara.
 
Back
Top Bottom