Abiria wampa kipigo dereva,wasema tusisubiri serikali hata sisi tunaweza wafundisha adabu

Abiria wampa kipigo dereva,wasema tusisubiri serikali hata sisi tunaweza wafundisha adabu

sawa sana maana ma dereva na ma konda wanajifanya wanajua kila kitu ,na hata police ukiwa mbishi unapewa ki chapo ndo yamewakut hao walibisha ndo maana waka chezea kichapo BIG up wana JF mlo toa Doze watasimulia wenzao pia.
 
sawa mno wanajidai sana makonda na madereva aksante kwa kutoa doze .
 
Back
Top Bottom