Abiria wanaopenda siti za mbele Wana roho ngumu kinoma

BabaMorgan

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Posts
5,197
Reaction score
14,380
Sio ubinadamu wa kawaida unakaa siti ya mbele mfano kutoka Dsm to mwz Kila anachofanya dereva unakiona speed kali na overtakes za kujitoa mhanga unaangalia tu na bado upo kawaida tu. Na wakati wa kurudi unawahi tena siti ya mbele.

Brother unaweza kuvaa mabomu na kujilipua wewe ni gaidi.
 
mkuu umetoka kutazama picha za mabasi ya Mwanza yaliyogongana uso kwa uso nini?

Makondakta pia wanakuwa kwenye hatari kubwa zaidi.
 
Sio ubinadamu wa kawaida unakaa siti ya mbele mfano kutoka Dsm to mwz Kila anachofanya dereva unakiona speed kali na overtakes za kujitoa mhanga unaangalia tu na bado upo kawaida tu. Na wakati wa kurudi unawahi tena siti ya mbele.

Brother unaweza kuvaa mabomu na kujilipua wewe ni gaidi.
Back then, mimi nilikuaga nachuku siti namba 2, au 3, au 4

Nilikuaga naweka miadi one week kabla ya safari.

ilikuwa nisipokaa mbele sijisikii kabisa
 
Shida ukikaa mbele unakuwa kama dereva,huwezi ona kama yuko speed.
Watu wa nyuma ndo huwa wana feel ile speed na ndo huwa wanapiga kelele za mwendo.
 
Nilikuwa Napenda sana kukaa seat ambayo naona kila kitu mbele.

Baada ya kugundua sio salama sana najikatia zangu seat za kati.
 
Sasa kukaa mbele duh noma
Nikikaa nyuma tu nakuwa dereva, nikiona gari mbele naimagine kata kulia andaa indicator minya brake sembuse nikae mbele nitazimia
 
Sio ubinadamu wa kawaida unakaa siti ya mbele mfano kutoka Dsm to mwz Kila anachofanya dereva unakiona speed kali na overtakes za kujitoa mhanga unaangalia tu na bado upo kawaida tu. Na wakati wa kurudi unawahi tena siti ya mbele.

Brother unaweza kuvaa mabomu na kujilipua wewe ni gaidi.
Hao ni kama mizigo hawajui hata kinachoendelea.
 
Back
Top Bottom