BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 5,197
- 14,380
mkuu umetoka kutazama picha za mabasi ya Mwanza yaliyogongana uso kwa uso nini?Sio ubinadamu wa kawaida unakaa siti ya mbele mfano kutoka Dsm to mwz Kila anachofanya dereva unakiona speed kali na overtakes za kujitoa mhanga unaangalia tu na bado upo kawaida tu. Na wakati wa kurudi unawahi tena siti ya mbele.
Brother unaweza kuvaa mabomu na kujilipua wewe ni gaidi.
Back then, mimi nilikuaga nachuku siti namba 2, au 3, au 4Sio ubinadamu wa kawaida unakaa siti ya mbele mfano kutoka Dsm to mwz Kila anachofanya dereva unakiona speed kali na overtakes za kujitoa mhanga unaangalia tu na bado upo kawaida tu. Na wakati wa kurudi unawahi tena siti ya mbele.
Brother unaweza kuvaa mabomu na kujilipua wewe ni gaidi.
Hatari Sana nimeziona pichamkuu umetoka kutazama picha za mabasi ya Mwanza yaliyogongana uso kwa uso nini?
Makondakta pia wanakuwa kwenye hatari kubwa zaidi.
Hao ni kama mizigo hawajui hata kinachoendelea.Sio ubinadamu wa kawaida unakaa siti ya mbele mfano kutoka Dsm to mwz Kila anachofanya dereva unakiona speed kali na overtakes za kujitoa mhanga unaangalia tu na bado upo kawaida tu. Na wakati wa kurudi unawahi tena siti ya mbele.
Brother unaweza kuvaa mabomu na kujilipua wewe ni gaidi.