A
Anonymous
Guest
Nimefika Stendi ya Nanenane Dodoma, watu wote wanakatishwa tiketi ya ushuru wa kuingia stendi hata kama tayari unatiketi ya safari.
Hii ni sawa kweli?
Hii ni sawa kweli?
Kulingana na muonekano wako kuanzia tzsh 200 ,ukiwa wa kuja tzsh 300,Ukiwa wa kuja zaidi Tzsh 500 ,Ukiwa wa kuja plus tzsh 700, Ukiwa wa kuja pro max tzsh 1000, ukizidi apo unaweza rukishwa na kichura churaBei gani?
Hahha hafu bila risiti iyo kudadeqKulingana na muonekano wako kuanzia tzsh 200 ,ukiwa wa kuja tzsh 300,Ukiwa wa kuja zaidi Tzsh 500 ,Ukiwa wa kuja plus tzsh 700, Ukiwa wa kuja pro max tzsh 1000, ukizidi apo unaweza rukishwa na kichura chura