Abood aja na Yutong F12

Hizi ma yutong zimeanza kunoga sikuhizi.
 
sorry hii ni Yutong F12 Plus
 
Yeye alikuwa ni mtu wa Scania, naona kaamua kuja kwa Wachina
 
Yeye alikuwa ni mtu wa Scania, naona kaamua kuja kwa Wachina
Alisha nunua yutong f12 kibao kama miaka 3 iliyopita, Hii ni yutong 12 plus ambayo kwa Mara ya kwanza ndio inaingia bongo. hii maneno si mchezo
 
Inatofauti gani na Yutong nyingine? Kwahili na.msifu mvimba macho ila kwa Boda Boda, Aisee hapana
Hii yutong ni version ya juu ya F12 zenye namba zinazo ishia 120D1.. kwa bongo abood nadhani ndio wa kwanza kuingiza..
 
Duuuh...!! nina wivu yaani bado kidogo nikuulize "Wewe lini utanunua yako siyo kupiga chapuo kwa me mwenzako" Shindwa shetani... nimeacha kuuliza niwie radhi kwa mawazo mgando...
 
Abc la dar singid f12 plus..
nimeona thanks, tena lina WiFi for free, USB ports kwa raha zako, scania body builders wanakazi kubwa kukimbizana na mchina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…