Mwaka jana bna sio miaka mitatu iliyopitaAlisha nunua yutong f12 kibao kama miaka 3 iliyopita, Hii ni yutong 12 plus ambayo kwa Mara ya kwanza ndio inaingia bongo. hii maneno si mchezo
Alishachelewa kwa BM
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwaka jana bna sio miaka mitatu iliyopitaAlisha nunua yutong f12 kibao kama miaka 3 iliyopita, Hii ni yutong 12 plus ambayo kwa Mara ya kwanza ndio inaingia bongo. hii maneno si mchezo
Alishachelewa kwa BM
Dar mwanza singidaAlly's ya kwenda wapi mkuu?
Usibishe kaka...BM izo gar zpo na nshapanda mala 3hakuna mwenye yutong F12 plus bongo
Hood naona hali tete siku hizi havumi kama enzi zile?!Bado Abood ataendelea kuteka soko la Dar-Moro
Hood yupo ICU anauza basi zake, Kwa sasa ukilikuta barabarani utalipanda kwa kulihurumia tu.Hood naona hali tete siku hizi havumi kama enzi zile?!
Hapo ndio naukumbuka ule msemo wa King of rhymes alisema kuwa namba moja kwa muda haishindikani ila kuwa namba moja milele haiwezekani!!Hood yupo ICU anauza basi zake, Kwa sasa ukilikuta barabarani utalipanda kwa kulihurumia tu.
Ila scania akitengeneza bodi ikawa kama hiyooo bei yake ztaingia yutong 7nimeona thanks, tena lina WiFi for free, USB ports kwa raha zako, scania body builders wanakazi kubwa kukimbizana na mchina.
Sasa hilo tangazo la 1 Month Service from Supplier lina maana gani kubandikwa hapo??
Hood nilikuwa namkubali sana, naona siku hizi kapotea kwenye uso wa ramani.Hood naona hali tete siku hizi havumi kama enzi zile?!