Abood aja na Yutong F12

Abood aja na Yutong F12

BM yupo ktambo kweny io ndinga....dah ila n kama ndegee
 
Usibishe kaka...BM izo gar zpo na nshapanda mala 3
BM ana F12 hii ni F12 plus, pia BM ana zhongtong climber ambazo zinafanana na F12 plus nadhani unachanganya.
 
Hood yupo ICU anauza basi zake, Kwa sasa ukilikuta barabarani utalipanda kwa kulihurumia tu.
Hapo ndio naukumbuka ule msemo wa King of rhymes alisema kuwa namba moja kwa muda haishindikani ila kuwa namba moja milele haiwezekani!!
 
nimeona thanks, tena lina WiFi for free, USB ports kwa raha zako, scania body builders wanakazi kubwa kukimbizana na mchina.
Ila scania akitengeneza bodi ikawa kama hiyooo bei yake ztaingia yutong 7
 
kuna tofauti gani hapo sasa,mbona kama yale ya zamani tu. hebu tutofautishieni.
 
Wajipange tuu, reli mpya kati ikikamilika na Bombardier zikikoleaza pangaboi, itabidi waje na ubunifu mpya wa kibiashara.
 
Ila maisha bhana... wakat nyie mnabishana habar za yutong... kuna watu hapa wanasubiria kwa ham dreamliner.... wamechoka bombadier..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuna zile nimeona zian business class, first class na economy class, ni kampuni gani vile maana nazitafuta sana japo nipande first class ya bus maana ndege usawa unabana
 
Back
Top Bottom