Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Tupo kwenye bus T818 DXJ lililotoka Mbezi saa 6:00 mchana huu kuelekea Morogoro, ukweli ni kwamba dereva ni mtu rough sana
Sina lengo la kuichafua kampuni, lengo ni kuboresha ili abiria tuwe na amani tunapochagua kusafiri na kampuni yako
- Anaendesha kwa speed ya juu mbaya zaidi akiambiwa kuwa makini na mwendo hamsikilizi mtu huenda ana haraka ya kufanya trip nyingi kwakuwa leo ni siku yenye shida ya usafiri
- Pamoja na mwendo huo hajalali malalamiko ya abiria juu ya kufukia matuta kiasi cha abiria wa siti za nyuma kujibamiza kwenye roof, kuna wajawazito, wapo wazee lakini anachotazama ni kuwahi Morogoro ili arudi Dar
- Utaratatibu wa kuovertake si mzuri amekoswakoswa na truck aliposhindwa kukadiria distance eneo la wamasai Chalinze, pia amenusurika kugongana na gari jingine karibu na Imperial School.
Sina lengo la kuichafua kampuni, lengo ni kuboresha ili abiria tuwe na amani tunapochagua kusafiri na kampuni yako