Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
- Thread starter
- #21
Huenda upo sahihi mkuu, lakini ipo haja watazame ustawi wwa aabiria, imagine mama mjamzito analalamika lakini hapewi attention je utu uko wapi?Unakuta dereva ni mzuri ila tajiri ameshampa maelekezo ya kufanya chap arudi.
Wenyewe wanakuambia chombo kina maelekezo, yani haizingatii 50kph wala 80kph
Isitoshe yule dereva anaonekana kabisa kichwa chake siyo kizima